Picha: Rais Uhuru ajiachia na kula ugali kitaa

Huyo mpuuzi hapo pembeni ndio maana ana jeuri sana maana president mshkaji wake hivyo
 
Maskini Kinyatta ana mashoto
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Mbona JPM alipo kula kwenye ule mgahawa wa airport pale mwanza hamkusema kama ni social sana ? tena yeye alinunulia wateja wenzake wote chakula pale.
Lowasa alipoenda tandale mlisema mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…