Picha: Rais Uhuru Kenyatta amzawadia gari Mbunge John Mwirigi

Picha: Rais Uhuru Kenyatta amzawadia gari Mbunge John Mwirigi

Mpaka atakapogawa kipande kidogo cha ardhi yake kwa watu wa kibera ndipo nitaamini kuwa anajali, laa sivyo ni maigizo tuu.
Kweli we are poor because we are poor, sasa badala ya kumpatia dogo asset andmpatia liability!
 
Mpaka atakapogawa kipande kidogo cha ardhi yake kwa watu wa kibera ndipo nitaamini kuwa anajali, laa sivyo ni maigizo tuu.
Wee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?
 
Wee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?

Wewe unataka kusema kuwa Kenyatta family haina land nairobi?
 
Umasikini mbaya sana.

Hadi hapo huyo jamaa hutamwambia chochote kuhusu Kenyatta akuelewe.

Rushwa hupofusha macho.
Wacha uzushi usiyo na mizizi.Hoja kubwa siyo Uhuru sababu rushwa yake itakuwa tu siasa za kumpendelea .Zile rushwa kubwa ni kutoka kwa makampuni makubwa kutafuta sheria za kuwafaa zaidi na ile omba omba ya wananchi wa eneo la Meru wataweza kumfanya huyu kijana kutafuta pesa kwa njia za rushwa.
 
Wewe unataka kusema kuwa Kenyatta family haina land nairobi?
Hata kama wanayo land Nairobi yule maskini wa kibera hawezi afford kujenga pale kwa standards kama Lavington ,Karen hivi na mambo za stima ,kodi ya ardhi na vinginevyo hawatoweza kujimudu kifedha pale.Huwezi kumtoa maskini kwa uchochole kwa kumpa vya bure tu la muhimu zaidi ni kumfunza kujivulia samaki mwenyewe.
 
Hayo ndiyo maigizo ya "mgombea binafsi". Huwa wanaleta "umalaya" kwenye siasa za vyama vingi. Nothing is for free; for sure! Huyo tayari amebatizwa kwa "moto":kuwa upande wa Jubilee kwa kila jambo litakoletwa Bungeni. Subirni muone. Alilopewa na Kenyatta hapo ni Prado. Ngoja NASA wampe helikopta!
 
Hata kama wanayo land Nairobi yule maskini wa kibera hawezi afford kujenga pale kwa standards kama Lavington ,Karen hivi na mambo za stima ,kodi ya ardhi na vinginevyo hawatoweza kujimudu kifedha pale.
.
Serikali kama itabuni mradi wa kuwapa haki ya kumiliki au hata kukodi ardhi, asilimia kubwa tuu ya watu wa kibera watakuwa matajiri. Kama Uhuru, kibaki na Moi watarudisha hata 1% ya ardhi wanayomiliki kwa serikali ya jamhuri ili wananchi maskini waweze hata kukodi kwa gharama nafuu, itasaidia sana.

Huwezi kumtoa maskini kwa uchochole kwa kumpa vya bure tu la muhimu zaidi ni kumfunza kujivulia samaki mwenyewe
.
kila mtu lazima awe na pakuanzia, hata Uhuru mwenyewe amepewa vya bure, kwanini iwe dhambi kwa wengine kupata vya bure?
 
Jamaa namkubali sana ila ana kamuonekano flan ivi kama mshirika wa vitu vyetu vile.
 
Aisee hivi mbona mimi sikutanagi na vismati kama hivi?
...Je huwa uko tayari ku take risks? Huyu dogo kama sijakosea nilimuona kwenye TV za Kenya akifanya kampeni kwa mazingira ya kimasikini kweli ikiwemo kampeni kwa kutumia punda. Sasa wewe hata bahati nasibu za BIKO huchezi utapataje?
 
Back
Top Bottom