Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Kweli we are poor because we are poor, sasa badala ya kumpatia dogo asset andmpatia liability!Mpaka atakapogawa kipande kidogo cha ardhi yake kwa watu wa kibera ndipo nitaamini kuwa anajali, laa sivyo ni maigizo tuu.
Wee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?Mpaka atakapogawa kipande kidogo cha ardhi yake kwa watu wa kibera ndipo nitaamini kuwa anajali, laa sivyo ni maigizo tuu.
Yes tabia ya Maskini ukimpa utajiri tabia yake ni kukazana kurudi kwenye umaskiniWee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?
Wee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?
Wacha uzushi usiyo na mizizi.Hoja kubwa siyo Uhuru sababu rushwa yake itakuwa tu siasa za kumpendelea .Zile rushwa kubwa ni kutoka kwa makampuni makubwa kutafuta sheria za kuwafaa zaidi na ile omba omba ya wananchi wa eneo la Meru wataweza kumfanya huyu kijana kutafuta pesa kwa njia za rushwa.Umasikini mbaya sana.
Hadi hapo huyo jamaa hutamwambia chochote kuhusu Kenyatta akuelewe.
Rushwa hupofusha macho.
Hata kama wanayo land Nairobi yule maskini wa kibera hawezi afford kujenga pale kwa standards kama Lavington ,Karen hivi na mambo za stima ,kodi ya ardhi na vinginevyo hawatoweza kujimudu kifedha pale.Huwezi kumtoa maskini kwa uchochole kwa kumpa vya bure tu la muhimu zaidi ni kumfunza kujivulia samaki mwenyewe.Wewe unataka kusema kuwa Kenyatta family haina land nairobi?
.Hata kama wanayo land Nairobi yule maskini wa kibera hawezi afford kujenga pale kwa standards kama Lavington ,Karen hivi na mambo za stima ,kodi ya ardhi na vinginevyo hawatoweza kujimudu kifedha pale.
.Huwezi kumtoa maskini kwa uchochole kwa kumpa vya bure tu la muhimu zaidi ni kumfunza kujivulia samaki mwenyewe
"Wazalendo wa Jubilee safiiiiii"Alijulia wapi kuendesha gari? Ako na DL??
ALIPATAJE DL??
Anyway great gesture!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawataangalia hayo!!!...watashinda wamefwata uhuru blindly"Wazalendo wa Jubilee safiiiiii"
hahaha kweli leo kituko
Uhuru havuti bangi. Lakini ni mlevi wa kutupwa.Jamaa namkubali sana ila ana kamuonekano flan ivi kama mshirika wa vitu vyetu vile.
...Je huwa uko tayari ku take risks? Huyu dogo kama sijakosea nilimuona kwenye TV za Kenya akifanya kampeni kwa mazingira ya kimasikini kweli ikiwemo kampeni kwa kutumia punda. Sasa wewe hata bahati nasibu za BIKO huchezi utapataje?Aisee hivi mbona mimi sikutanagi na vismati kama hivi?