Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu.

Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au mwezi. Huwa ni mbaya. Bora wakujibu kesho yake au siku ile ile. Ila ukiwapiga wakanyamaza. Hapo ndo uanze kuwaza wanawaza nini.

Screenshot_2024-09-19-10-03-02-870_com.twitter.android~2.jpg
 
Back
Top Bottom