Picha: Rais wa JMT akimjulia hali Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu MNH

Ni nani sasa aliyekuwa anasema rais anaumwa ?
Kwani nyie mliokuwa mnashangilia rais wetu Dkt Magufuli kuumwa enzi zile mlidhani ni sawa?? Nimemuona yule Mangi eti anasikitika Rais Samia kuumwa wakati ni mtu yuleyule alishangilia na kuombea kifo cha Dkt Magufuli kitokee. Na ndiyo maana hawa akina Mange vichwa vyao vinabei wakirudi tu bongo lazima wakatwe vichwa maana wafuasi wa Dkt Magufuli wana hasira sana nao
 
Mimi si wa Buza natoka Mwembeyanga , kuhusu maana ya hoja yangu rejea Moshi uliomkuta Jiwe kule Rwangwa
We mchepuko wa gaidi japo jifunze kuheshimu viongozi wa dini hata kama si wa imani yako. Hivi bavicha mtakosa adabu hadi mfike wapi?
 
Hawana kitu.

Amini jamaa yako alishakufa huwezi kumuona tena
 
Usifike huko. Tukisema Kila mfuasi achukue hatua itageuka kuwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Maana wafuasi wa Kila kundi ni wengi utakapomshambulia mtu basi jua kundi lake litalipiza kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…