Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ukiumwa leo kesho hauponi? Mbona wapo wanaoumwa wengi tu wanawapelekea chakula wagonjwa hosipitali.Ni nani sasa aliyekuwa anasema rais anaumwa ?
Uwezo wetu wa kufikiri ni wakisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiumwa leo kesho hauponi? Mbona wapo wanaoumwa wengi tu wanawapelekea chakula wagonjwa hosipitali.Ni nani sasa aliyekuwa anasema rais anaumwa ?
Rudia tena kusoma kwa umakini. Utaelewa. Acha papara.kigogo2014 hajapost huo umbea...wahuni kama kawa wamemchomekea wakijua anaaminika..
vipi wewe dada hujakasirika kwani?Kwani nyie mliokuwa mnashangilia rais wetu Dkt Magufuli kuumwa enzi zile mlidhani ni sawa?? Nimemuona yule Mangi eti anasikitika Rais Samia kuumwa wakati ni mtu yuleyule alishangilia na kuombea kifo cha Dkt Magufuli kitokee. Na ndiyo maana hawa akina Mange vichwa vyao vinabei wakirudi tu bongo lazima wakatwe vichwa maana wafuasi wa Dkt Magufuli wana hasira sana nao
nimekosea wapi ?We mchepuko wa gaidi japo jifunze kuheshimu viongozi wa dini hata kama si wa imani yako. Hivi bavicha mtakosa adabu hadi mfike wapi?
Tumekosa habari za kupost, hii naye kesho ni habari kwenye front pages
Huwezi ona. Kwani kejeli,dharau ni utamaduni wenunimekosea wapi ?
Wafuasi wa Magufuli, ndio wanamuombea Rais mabaya, Samia Hawa watu inatakiwa awapunguze na kuwaondoa kwenye serikali yake, wanamchekea machoni tu, Ni nyokaNi nani sasa aliyekuwa anasema rais anaumwa ?
Humkati mtu yeyote kwa ajili ya kifo cha yule HAYAWANI. Magufuli anatumikia dhambi za aliowaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe etc.Kwani nyie mliokuwa mnashangilia rais wetu Dkt Magufuli kuumwa enzi zile mlidhani ni sawa?? Nimemuona yule Mangi eti anasikitika Rais Samia kuumwa wakati ni mtu yuleyule alishangilia na kuombea kifo cha Dkt Magufuli kitokee. Na ndiyo maana hawa akina Mange vichwa vyao vinabei wakirudi tu bongo lazima wakatwe vichwa maana wafuasi wa Dkt Magufuli wana hasira sana nao
Muulize mmeoUmeishia darasa la ngapi we pimbi?
Hujui kama huyu huwa anatibu watuUna maana gani bibie wa Buza
Wewe huwa ni mpuuzi na mpumbavu mkubwa, yaani unakiwa na chuki na hayati kama mpumbavu. Kama unajua aliwaua mbona hujaenda mahakamani. Pumbavu mkubwa kazi kupost upumbavu tu.Humkati mtu yeyote kwa ajili ya kifo cha yule HAYAWANI. Magufuli anatumikia dhambi za aliowaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe etc.
MangeKimambi akitua hapa tunampa cheo hata kuwa DC
Dawa ni kutosoma post zangu. Nimeweka nadhiri nitamuandika DIKTETA wa Chato mpaka Dunia mzima ielewe namna alivyoharibu Nchi yetu kwa muda mfupi hadi Mungu alivyoingilia kati.Wewe huwa ni mpuuzi na mpumbavu mkubwa, yaani unakiwa na chuki na hayati kama mpumbavu. Kama unajua aliwaua mbona hujaenda mahakamani. Pumbavu mkubwa kazi kupost upumbavu tu.
Dikteta? Angekubalika kwa wananchi kwa kuleta maendeleo namna hii? Sasa kama unaushahidi mbona hutoki hadharani ili mabaki ya waliouliwa yapatikane?Dawa ni kutosoma post zangu. Nimeweka nadhiri nitamuandika DIKTETA wa Chato mpaka Dunia mzima ielewe namna alivyoharibu Nchi yetu kwa muda mfupi hadi Mungu alivyoingilia kati.
Maendeleo yaoi kayaleta ambayo mnayaona nyinyi vipofu wasukuma peke yenu?Dikteta? Angekubalika kwa wananchi kwa kuleta maendeleo namna hii? Sasa kama unaushahidi mbona hutoki hadharani ili mabaki ya waliouliwa yapatikane?