Picha: Rais wa JMT akimjulia hali Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu MNH

Allahammdullillah 🙏🏻🙏🏻 raisi kaonekana
 
vipi wewe dada hujakasirika kwani?
 
Humkati mtu yeyote kwa ajili ya kifo cha yule HAYAWANI. Magufuli anatumikia dhambi za aliowaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe etc.

MangeKimambi akitua hapa tunampa cheo hata kuwa DC
 
Wewe huwa ni mpuuzi na mpumbavu mkubwa, yaani unakiwa na chuki na hayati kama mpumbavu. Kama unajua aliwaua mbona hujaenda mahakamani. Pumbavu mkubwa kazi kupost upumbavu tu.
 
Dawa ni kutosoma post zangu. Nimeweka nadhiri nitamuandika DIKTETA wa Chato mpaka Dunia mzima ielewe namna alivyoharibu Nchi yetu kwa muda mfupi hadi Mungu alivyoingilia kati.
 
Dikteta? Angekubalika kwa wananchi kwa kuleta maendeleo namna hii? Sasa kama unaushahidi mbona hutoki hadharani ili mabaki ya waliouliwa yapatikane?
 
Maendeleo yaoi kayaleta ambayo mnayaona nyinyi vipofu wasukuma peke yenu?

Kuna Marais walifanya makubwa sana kabla yake lakini hawakuua wakosoaji. Na Wala hatuwasemi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…