Picha: Rasmi Yanga yamsajili Djuma Shabani

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili.

Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake angeelekea kunako Klabu ya Rs Berkane kuungana na kocha wake Florent Ibenge aliyejiunga na timu hiyo ya Morrocco akitokea AS VITA Club.

 
Em angusheni straika wa maana hapo....jamani[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Well done Wananchi
Well done GSM
Kazi iendeleeeee
 
Vipi anaruhusiwa kukipiga pale kigoma?yani kama kugusa tu na kutupia japo mbili
 
Uyo babu spana mkononi hamna kitu
Mnabadili maneno tena! Siyo nyinyi mliosema Yanga haina uwezo wa kumsajili?

Leo mnamuita babu spana mkononi! Je, analingana kweli umri na Kagere, Boko, Nyoni, Onyango au Wawa?
 
Pale Morogoro Mjini, eneo la MASIKA, ni makazi ya zamani ya legend wa YANGA wa kuitwa JUMA SHAABAN! Juma Shabaan alicheza YANGA ktk zama Mkoa wa MOROGORO una Ma-Star kn GIBSON SEMBULI, JELA MTAGWA, ADAMU SABU, JUMA MLAPAKOLO kuwataja wachache!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…