Picha Realistic za AI za Watu Maarufu katika Historia ya Kale ya Tanzania

Picha Realistic za AI za Watu Maarufu katika Historia ya Kale ya Tanzania

Nimeongeza

Siti binti Saad - Mmoja wa Pioneers wa Taarab Music aliyeishi Zanzibar (c.1880– August 1950)
 
Added

Kikanga - Ntemi of Bukumbi Chiefdom, c. 1900 (One of Sukuma Chiefdom)
 
😄 mengine ni ya kumwachia Mungu tu ndugu, binadamu ni wengi watu ni wachache.

BTW; watawala wote wanaua sana . Refer mfalme Daudi kwa siku alichinja watu 300 kwa kisu kwa mkono wake mwenyewe
na wewe ukaibeba kama ilivyo hiyo chai hapo niliyokoleza?
 
Hawa machief walikua makatili zaidi ya wakoloni...

Walishiriki kutuuza utumwani...

Ukiwa na mwanamke mzuri huyo ni mke wa chief, vivyo hivyo kwa wanyama...

Ukiwa na mbuzi alonona, huyo ni wa chief na ni lazima utoe...
 
Back
Top Bottom