Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Utabusu sana mikund* lakini teuzi zitakupita tuNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.
Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.
Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.
Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.
Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.
Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.
Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .
Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.View attachment 3429905View attachment 3429906
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako.Ungeweka namba ya Simu,Rizi akuone kwa chochote, huwezi toka patupu
Kwani wapi nimesema ya kuwa natafuta uteuziUtabusu sana mikund* lakini teuzi zitakupita tu
Umeacha ule utaratibu wako,au tayari ameshaisevu,anayo?Nimeacha nafasi ili uweke namba yako.
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsiWewe Fala umri unaenda huooo!!!!
Utakuwa chawa mpaka lini? Unaishi maisha hayo Hadi lini
Ni rahisi sana kutawala watu waliotopea kwenye umasikini na ujinga. Hiki ndo watawala wanapenda sasa.Mfalme na raia wake 😭😭😭
View attachment 3429936
Jitu jinga linaona fahari watoto wa viongozi kupokelewa kifahari huku lenyewe limetopea kwa ufukara na umaskini usio mithirika.Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.
Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.
Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.
Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.
Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.
Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.
Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .
Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.View attachment 3429905View attachment 3429906
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jitu zima na makende yake kutwa nzima linasifia wanaume. Hata aibu halina.Ndugu zangu Watanzania,

Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo ndugu yangu mtanzaniaJitu jinga linaona fahari watoto wa viongozi kupokelewa kifahari huku lenyewe limetopea kwa ufukara na umaskini usio mithirika.
Poor u chawa.
Litakuwa linapasuliwa unyeoJitu jinga linaona fahari watoto wa viongozi kupokelewa kifahari huku lenyewe limetopea kwa ufukara na umaskini usio mithirika.
Poor u chawa.
Mimi mswahili wa pwani na sirambi watu miguu.Na Waswahili wa pwani wanavyopenda kuramba watu miguu, hapo wanamsujudia mpaka anajiona mungu-mtu.
Mzee WA magazeti ya Uhuru na Mzalendo,Bado upo!Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.
Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.
Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.
Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.
Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.
Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.
Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.
Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .
Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.View attachment 3429905View attachment 3429906
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kweli kabisa,Tena anabubujikwa na machozi ya furaha!Chawa pro max
Unalipwa sh ngapi?
Hakika sisi wanyia huku songwe tumepata hasara kuwa na kiazi kama wewe!
Hizi ni dalili za kutaka teuzi,hadi unabubujikwa na machozi ya furaha!Kwani wapi nimesema ya kuwa natafuta uteuzi
Sitafuti uteuzi ndugu yangu mtanzaniaHizi ni dalili za kutaka teuzi,hadi unabubujikwa na machozi ya furaha!
Mimi siandiki magazetiMzee WA magazeti ya Uhuru na Mzalendo,Bado upo!
Wewe una matatizo, jitafakari!.Mimi siandiki magazeti
InasikitishaMfalme na raia wake 😭😭😭
View attachment 3429936
Sina matatizo mimi.Wewe una matatizo, jitafakari!.