GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Well, mwisho wa siku wananchi ndio wanaochagua, kama wamemuunga mkono comrade, all the best to him
 
Ridhiwani asipokukula jicho sitaamini.
 
Ndumba tupu!!
 
Well, mwisho wa siku wananchi ndio wanaochagua, kama wamemuunga mkono comrade, all the best to him
Wananchi wanamuunga Mkono kwa Kiwango kikubwa na wapo tayari kumpitisha na kumchagua kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Nchi Nzima
 
Inasikitisha sana na kapita bila kupingwa​
Ile familia inavyomiliki nchi, member yoyote wa hiyo familia akichukua fomu hakuna mwingine yoyote anayethubutu kuchukua. Wanaogopa kutekwa mchana kweupe kwa kujaribu kumpinga mfalme.
 
Hahaha kuna watu wana maisha magumu hapa duniani hii kazi uliyo chagua ni ngumu sana Luka

Tafuta kazi bro kusifia wanaume wenzako ni fedheha
 
Mimi mswahili wa pwani na sirambi watu miguu.

Kuramba watu miguu ni hulka tu ya mtu.

Ndiyo maana kuna kina baba levo,mwijaku,Steve mengele and the likes sio watu wa pwani lakini ni mabingwa wa kuramba watu miguu na kujipendekeza.
Yeah, huwa kuna exceptional cases, I was referring to the majority ya watu wa jamii hizo. Hao uliowataja wamepeka hiyo desturi ya kulamba watu miguu to the next level, pathetically wameigeuza hiyo tabia kuwa ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…