Picha: Safari ya Kikosi cha Simba SC toka katika Fukwe za Bahari hadi kisiwani Unguja

Picha: Safari ya Kikosi cha Simba SC toka katika Fukwe za Bahari hadi kisiwani Unguja

Saa simba day itakuwa shwaaaariiiii, majirani wamejificha baada ya kuukalia jana!

Mkuu, Kipindi sisi chuma kimeanza kukolea moto, mtaa wa pili nasikia nyumba yao ya nyasi ishaanza kufuka moshi.. Kuna watu mlango wa kutokea utawahusu mda si mrefu.
 
samahani mkuu kwa kutoka kwenye mada, hawa kampuni ya jumia wameweka simu ambayo ni inactive najaribu kuwapigia ili nipate jezi simu haipatikani. wasitue watuwekee active namba tupate huduma hiyo

Mkuu unajua huu ni utaratibu mpya, hivyo mwanzo hua mgumu.. Kesho nitafuatilia then nitakuja na jibu.
 
Jayb8989

Shukran mkuu kwa taarifa na updates. Sasa kama mechi imekwisha ebu tupe nyeti zaidi, list, combination na partnership, timu kwa ujumla na nani stars performers ktk game. Unajua hii ni preseason lkn dalili uonekana mapema zaidi na namuamini sana kocha, waingereza sio njaa na mababmash km hao wengine akina Lewing wa kupangiwa timu.

Nimependa sana sera yake kuwa watakaokuwa benchi aureserve wakati wa mechi za ligi watakuwa wanapewa mechi kila week pia na wale wanaong'ara ndiyo wanapandishwa ktk first 18. Huu ni mfumo wa ulaya na unasaida sana ku maintain vipaji na kukuza morali sio kukaa benchi wee huku wanakula mishahara na kupiga domo kila siku !!

Dalili nzuri sana hizi na hasa ukichukulia pia tunawekeza ktk timu ya vijana. Tuliwahi huko nyuma kufanya vitu hivi na ndipo tuliwaibua akina Shekhan Rashid na Michael John, ect.
 
mwenye update ya mavugo kuja simba atujulishe maana kuna gazeti limeandika leo kuwa kayeyuka?
 
mwenye update ya mavugo kuja simba atujulishe maana kuna gazeti limeandika leo kuwa kayeyuka?

Mpaka ss mkuu nipo karibu sna kuifatilia simba sc visiwan bado ktk klabu cjaona ujio wake zaidi ya ujio ambao labda leo anaweza akawepo mwinyi kazimoto
 
Back
Top Bottom