Jayb8989
Shukran mkuu kwa taarifa na updates. Sasa kama mechi imekwisha ebu tupe nyeti zaidi, list, combination na partnership, timu kwa ujumla na nani stars performers ktk game. Unajua hii ni preseason lkn dalili uonekana mapema zaidi na namuamini sana kocha, waingereza sio njaa na mababmash km hao wengine akina Lewing wa kupangiwa timu.
Nimependa sana sera yake kuwa watakaokuwa benchi aureserve wakati wa mechi za ligi watakuwa wanapewa mechi kila week pia na wale wanaong'ara ndiyo wanapandishwa ktk first 18. Huu ni mfumo wa ulaya na unasaida sana ku maintain vipaji na kukuza morali sio kukaa benchi wee huku wanakula mishahara na kupiga domo kila siku !!
Dalili nzuri sana hizi na hasa ukichukulia pia tunawekeza ktk timu ya vijana. Tuliwahi huko nyuma kufanya vitu hivi na ndipo tuliwaibua akina Shekhan Rashid na Michael John, ect.