PICHA: Sajuki shavu dodo, sasa Mungu mkubwa

PICHA: Sajuki shavu dodo, sasa Mungu mkubwa

Kusuka nywere ndio Uanaume!?....
usinitafutie ban mtu wangu,ila just know huwa unajifanya unajua mengi na mstaarabu, kucrash idea za watu bila kujitambua unaongea pumba square,heshimu mawazo ya watu siyo unajibu kwa kauli za kuamsha hasira za watu.
ukweli ndo huo ufanyie kazi.
i'm out
 
Kwa Style hii wamekufa watu wengi sana kwa kukosa. Pesa/huduma bora

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa Style hii wamekufa watu wengi sana kwa kukosa. Pesa/huduma bora

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndio maana nashangaa Watanzania tunakubali kupigwa porojo kwenye swala la afya zetu, ni kwa nini serikali isinunuwe vifaa muhimu ili na wao watibiwe hapa hapa Tz?
 
usinitafutie ban mtu wangu,ila just know huwa unajifanya unajua mengi na mstaarabu, kucrash idea za watu bila kujitambua unaongea pumba square,heshimu mawazo ya watu siyo unajibu kwa kauli za kuamsha hasira za watu.
ukweli ndo huo ufanyie kazi.
i'm out
Huyu matola ana upimbi flani wa kibush halafu anajichukulia mjanja kumbe boya!
 
kweli tuishi kwa kumshukuru mungu kwa kila jambo,kwa jinsi afya ya jamaa ilivyokuwa mmh!
 
Jamaa kapata nafuu Mungu mkubwa.
 
uzalendo ulioonyeshwa na watanzania kusaidia watu uendelee hivo hivo
 
Kweli kabadilika ndo maana Rais mstaafu wa Afrika Kusini alisema ukimwi ni umasikini
 
sifa zote njema ni za mwenyezimungu mola mlezi wa viumbe vyote, yeye tu ndio tunamuabudu na yeye tu tunamuomba msaada na alitakalo ni kun fayakun. Inawezekana kwani asichokiuwa mungu binadamu hawezi kukiua kabisa. Inshallah twakutakia kila la kheri uzidi kupata nafuu na urudi kwenye kazi zako. Ila nakupa ushauri mmoja tu usiache kumshukuru allah na kumsujudia kila wakati. Na pongezi sana zimuendee mkewe wastara juma kwa kuwa na subra na mumewe na kumuuguza kwa dhati, mwenyezimungu awajaalie maskizano na upendo katika ndoa yao. Amin
insha a llah
 
Back
Top Bottom