Picha: Shaq O'Neal Miaka 52 akila maisha na Mpenzi wake mwenye miaka 21 wakilaaisha Hispania

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wakuu, tutafte hella.

Hapa ni mcheza kikapu maarufu Shaq O'Neal mwenye miaka 52 akiwa nchini Hispania na mpenzi wake mwenye miaka 21 wakila maisha.


View: https://x.com/XekiHlongwane/status/1883471795870933446?s=19
Usisahau mmiliki wa kampuni kubwa ya mawasiliano ya Oracle Bwana Larry Ellison mwenye miaka 81 ameoa mwanamke wa miaka 33.

Mwanaume tafta hela.
 
Waungwana wanasemaga umri ni idadi ya miaka tu uliyomaliza hapa duniani mengineyo ni rehema na baraza za mwenyezi MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…