Picha: Shaq O'Neal Miaka 52 akila maisha na Mpenzi wake mwenye miaka 21 wakilaaisha Hispania

Picha: Shaq O'Neal Miaka 52 akila maisha na Mpenzi wake mwenye miaka 21 wakilaaisha Hispania

Wakuu, tutafte hella.

Hapa ni mcheza kikapu maarufu Shaq O'Neal mwenye miaka 52 akiwa nchini Hispania na mpenzi wake mwenye miaka 21 wakila maisha.


View: https://x.com/XekiHlongwane/status/1883471795870933446?s=19

Usisahau mmiliki wa kampuni kubwa ya mawasiliano ya Oracle Bwana Larry Ellison mwenye miaka 81 ameoa mwanamke wa miaka 33.

Mwanaume tafta hela.

Haya ndio matumizi sahihi ya hela bwana.😍😍
Gari bovu uvutwa na gari mzima.
Wee mwanaume kikongwe unavhukuwaje kigongwe mwenzio kama mke...chukua binti 28 and under
 
Anapenda vibint vifupi,hata mke wake naye ni mfupi,sijui wameachana?

Mwanaume bwana ana advantage kubwa sana kwenye mapenz, kuwa na hela tu basi
Sanaaa yaani sie wanaume ujitakie mwenyewe tuu kula wazee na sura mbaya.
Mwanaume unatakiwa kula pisi kali tuu.
Wacha tusake hela.
 
.1959- 1933 = 26

Mimi babu yangu alioa mwanamke ambaye Amempita miaka 26 na alikuwa broke .
 
Back
Top Bottom