Picha: Shilole anyonywa matiti na shabiki wake jukwaani

Picha: Shilole anyonywa matiti na shabiki wake jukwaani

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Hii ni aibu sana kwa kweli!

For more photos
http://tuangaze.blogspot.com/2013/10/angalia-jinsi-shilole-alivyonyonywa.html

1.jpg
3.jpg
6.jpg
 
kua na dada au ndugu yeyote wa kike huko bongo muvie ni kujitaftia aibu! halaf jamaa anamchumsha mboga live jukwaani.
 
Shilole hajiheshimu na hajawahi kujiheshimu we cheki aina za interview anazozifanya luningani aibu tupu.Tatizo la kukosa shule afu mtu wa kushika mia mia mia mbili mia mbili ukishika laki 5 akili zinapaa kabisa.Alitakiwa ajiheshimu sana.Amesahau alipotoka housegirl,kuuza genge.Afu katika wasanii washamba wasiojua kuvaa Shilole anaongoza anavai kiswazi sana am sorry to say this house girl is always housegirl habadiliki mavazi afu kanajionaga kazuuuuriii mbutananga!!!!
 
halafu anataka akafanye show na mastaa wa majuu... aaaah wapi!!! anautafuta umaarufu kwa gharama yoyote ile ikiwemo kujidhalilisha...!
Niliangalia interview yake moja kwenye luninga nikamshusha thamani kabisa anaishi kwenye ulimwengu wa kufikirika kama mende
 
Huyu dd ni mchafu wa tabia...show zake no ngono tuuupuu mpk aibu..kwan hakuna BASATA au
 
Nimesoma sehemu flani kuwa kuna wimbo wake kafanya na Jennifer Lopez a.k.a Jlo. Utatoka mwezi ujao.
 
Labda video kama hizo ndio amepelekewa J LO mwenyewe akachenguka na kutaka wafanye naye colabo.....
 
Tz tuna uhaba wa mastaa. Wanaume wanatoboa pua,ngasa anaact porn,diamond anaonesha bikini kisa kajua ricy rozay yupo,mamodel wakiume ni wengi mapunga, mademu ndo hawa wanachumshwa mboga jukwaani.
 
Back
Top Bottom