ana-treat vizuri mashabiki wake
ofcourse,nataka ungeweza kunitreat hivo,mbona mpaka nitasinziahahaaaaaa na we unataka kuwa treated hivyo...
nimesoma sehemu flani kuwa kuna wimbo wake kafanya na jennifer lopez a.k.a jlo. Utatoka mwezi ujao.
sema hakiyamungu mzee!
ofcourse,nataka ungeweza kunitreat hivo,mbona mpaka nitasinzia
hahaaaa yaani umenichekesha lol....alisemaga anataka kutoa Colabo na Jenifa Ropezi
nashangaa why i'm late kuona hii replyuje kule basi leo.....nna hamu na wewe sana.....