Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Ikiwa katika maandalizi ya mwisho ya kurekodiwa movie inayokwenda kwa jina la MY DREAMS, Mastar kibao walioshiriki katika movie hiyo wamejikuta wakitambiana kila mmoja akisema atamfunika mwenzake wakati wanapiga picha za cover katika studio ya Raqee kama zinavyoonekana.Irene Uwoya ndiye anayeonekana kuwa kinara wa movie hiyo lakini kuna msichana anayejulikana kwa jina la Rose Ndauka yeye amesema aongei kitu ila watu watajionea nini kafanya kwa upande wa Johari yeye amesema safari hii amekuja na style mpya kabisa itakayomzolea sifa na ikiwezekana akafanya kweli kama alivyoigiza kwenye movie hiyo RJ COMPAMY
WATANZANIA na wadau wa Movie za Kibongo kaeni mkao wa kula kwani movie hii itaingia mtaani kwa kishindo... Pateni mipicha ya maandalizi ya movie hii
WATANZANIA na wadau wa Movie za Kibongo kaeni mkao wa kula kwani movie hii itaingia mtaani kwa kishindo... Pateni mipicha ya maandalizi ya movie hii