Picha: Sijawahi Kuona Mgombea Urais Mwenye Upendo Kama Dkt. Samia Suluhu Hassan

nani kafedheheka?
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
View attachment 3464168
Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia
Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa letu, mgombea urais amewapatia wapinzani wake magari ya kisasa aina ya V8, ishara ya upendo wa dhati na heshima ya kisiasa. Hii ni hatua inayobadili taswira ya siasa za ushindani nchini, ikionyesha kwamba siasa zinaweza kujengwa kwa mshikamano na utu badala ya maneno makali na uhasama. Kitendo hiki kimemtofautisha Dkt. Samia kama kiongozi anayejali ustawi wa taifa zima, hata wale wasio upande wake wa kisiasa.

Ni wazi kuwa Dkt. Samia amejikita katika kuonesha kwamba siasa si vita bali ni uwanja wa kuongoza watu kwa hekima, mshikamano na upendo. Hata leo, kama wapinzani wake kama vile Tundu Lissu wangekuwa na nafasi ya kusafiri katika magari ya kisasa kama V8, wangeendelea na kampeni zao kwa sauti kali na kauli kama “No Reforms, No Election”. Lakini kitendo cha Dkt. Samia kutoa rasilimali kwa wapinzani wake ni ushahidi wa moyo wake wa kipekee wa kujali ustawi wa taifa na wanasiasa wenzake. Huu ni mfano wa nadra sana duniani, na hakika ni jambo ambalo litaendelea kukumbukwa kwa vizazi vijavyo. Mungu ambariki na amuweke Dkt. Samia katika safari yake ya kuijenga Tanzania yenye mshikamano, mshikamo na maendeleo.

View attachment 3464171

Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania wakati wa Rais Samia
​
Damu za kina Mdude, Mzee Ali Kibao, Shadrack Chaula, Dionis Kipanya, Soka na wenzake haziwezi kumuacha salama Samia hata kidogo na malipo ni hapa hapa duniani.
 
View attachment 3464168
Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia
Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa letu, mgombea urais amewapatia wapinzani wake magari ya kisasa aina ya V8, ishara ya upendo wa dhati na heshima ya kisiasa. Hii ni hatua inayobadili taswira ya siasa za ushindani nchini, ikionyesha kwamba siasa zinaweza kujengwa kwa mshikamano na utu badala ya maneno makali na uhasama. Kitendo hiki kimemtofautisha Dkt. Samia kama kiongozi anayejali ustawi wa taifa zima, hata wale wasio upande wake wa kisiasa.

Ni wazi kuwa Dkt. Samia amejikita katika kuonesha kwamba siasa si vita bali ni uwanja wa kuongoza watu kwa hekima, mshikamano na upendo. Hata leo, kama wapinzani wake kama vile Tundu Lissu wangekuwa na nafasi ya kusafiri katika magari ya kisasa kama V8, wangeendelea na kampeni zao kwa sauti kali na kauli kama “No Reforms, No Election”. Lakini kitendo cha Dkt. Samia kutoa rasilimali kwa wapinzani wake ni ushahidi wa moyo wake wa kipekee wa kujali ustawi wa taifa na wanasiasa wenzake. Huu ni mfano wa nadra sana duniani, na hakika ni jambo ambalo litaendelea kukumbukwa kwa vizazi vijavyo. Mungu ambariki na amuweke Dkt. Samia katika safari yake ya kuijenga Tanzania yenye mshikamano, mshikamo na maendeleo.

View attachment 3464171

Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania wakati wa Rais Samia
​
🚮
 
Gz09RyLaIAAAxZd.jpeg
 
Siasa mchezo mchafu sana.
 
Back
Top Bottom