tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Binamu sikio lako mbona zito kama kontena la AMI?
Unataka mpaka tuje kusutwa hadharani?
Kwani pacha wa Maimatha Jesse ni nani?
Unaniudhi sasa
Kweli mtoto w kichaga anapakatwa mpka ndoa mbna majanga,kuna cku alikuja mahali masai club na madem flani tuliwaita akawa anaturembulia tukamtoa nduki fasta