Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Binamu sikio lako mbona zito kama kontena la AMI?
Unataka mpaka tuje kusutwa hadharani?
Kwani pacha wa Maimatha Jesse ni nani?

Unaniudhi sasa

Kweli mtoto w kichaga anapakatwa mpka ndoa mbna majanga,kuna cku alikuja mahali masai club na madem flani tuliwaita akawa anaturembulia tukamtoa nduki fasta
 
Wake mwenyewe,afanye anavyotaka amfungie ndani hasa watu wasimuone mbona kasema mapema sana? angesubiri mpaka afike 25 ndio aseme...
 
Sasa kulea huyo mmoja kulimshinda mpka asaidiwe c majanga hayo utakuta kazaa n ----- 2 ambae hana msaada kwake

Walitoleana siri baada ya kugombana c unajua tena urafiki Wa mujini, sasa sijui Na huyu mama ubaya atamsomesha
 
Wake mwenyewe,afanye anavyotaka amfungie ndani hasa watu wasimuone mbona kasema mapema sana? angesubiri mpaka afike 25 ndio aseme...

Naona alisubir wakat anatoa nyimbo yake mpya ndo aseme ili apate kick zaidi ya kutokea c unawajua wasanii Wa bongo kwa kupenda scandal
 
Walitoleana siri baada ya kugombana c unajua tena urafiki Wa mujini, sasa sijui Na huyu mama ubaya atamsomesha

Labda kwasasa ana uhakika w maisha zaidi mana kulea watoto c kazi ndogo kipato muhimu sana
 
Kweli mtoto w kichaga anapakatwa mpka ndoa mbna majanga,kuna cku alikuja mahali masai club na madem flani tuliwaita akawa anaturembulia tukamtoa nduki fasta

Kuna siku walikuwa wanagombania bwana na Dan mtoto Wa mama
 
mmmh huyu Ngassa jaman naomba 2mtolee tamko, haiwezekan! Nasema amezidi au afungwe speed governor haraka laa sivyo ata2jazia panyaroad dar cku za usoni
 
mmmh huyu Ngassa jaman naomba 2mtolee tamko, haiwezekan! Nasema amezidi au afungwe speed governor haraka laa sivyo ata2jazia panyaroad dar cku za usoni

Wee usiniambie kazaa na ngasa? Nyie huyu snura kiboko, jamaa c kaoa yule??..
 
Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana

Hii coment imenichekesha aiseeB-)
 
Wee usiniambie kazaa na ngasa? Nyie huyu snura kiboko, jamaa c kaoa yule??..

Binamu nawe usiwe kama umekuja leo mjini, kwani mwanaume akioa koki haimwagi maji?
Akioa jogoo hapandi mtungi?
Akioa uume haudindi?
Kwanza waume za watu kama mcharo tu.....watamujeeeeee!!!!!
Ila awe na pesa, sio mwanaume kengele, mpigaji mwingine, mji atauhama.
 
Kweli mtoto w kichaga anapakatwa mpka ndoa mbna majanga,kuna cku alikuja mahali masai club na madem flani tuliwaita akawa anaturembulia tukamtoa nduki fasta

Halafu huwa hanaga soni mwanaume mwenzenu yule.
Ila nahisi kama anaanza kufulia.
Maana swagger za sahivi si kama za enzi zile.

Mwanaume pozi utadhani akidindisha anamwaga dhahabu, kumbr shahawa tu kama za bwana angu
 
Yule c mwanaume mana hata harufu y kiume hana
 
Huyu Ngassa n m2 wa karibu ila sasa naona kazidi! Yaan haushagi mwezi lazima mwanamke ajifungue mtoto wake somewhere alafu 2kiwa kwenye vijiwe vye2 vya ghahawa anajisifiaje! Atolewe tamkoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…