Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi leo vipi mbn hivyooo kwanza vp upo dar au wapi. Alaf huyo Konda wa bodaboda mbona kama mpo gari la mkaa siku nyingne mpo safi siku nyingne kimeo mpk nkajua nae kapewa kama ulivyomuonjesha bacha. Mie asakuta same huyo pacha ukamuaji wetu unafanana tu
Konda wa bodaboda ana lake jambo.
Anataka utamu unaoupata wewe na yeye aupate hivohivo tu.
Mmmh ila kuna wakati mlikua vizuri mpk nkaanza kupata wivu
Hata usipate wivu mpenzi.
Kwanza yule ni chatu la mazoezi, halina meno hivo wala haliumi