PICHA: Sura mbalimbali za wanawake kabla, wakati na baada ya kufika mshindo (orgasm)

PICHA: Sura mbalimbali za wanawake kabla, wakati na baada ya kufika mshindo (orgasm)

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
'KUKOJOA' kwa wanawake ni jambo adimu sana duniani! Nani anabisha?!

Unaweza kudhani ni jambo rahisi lakini sivyo. Tafiti mbalimbali zimebainisha kwamba ni wasichana/wanawake wachache sana hufikia mshindo wanapofanya tendo. Yaani kuna wengine ndio hawajui hata ni nini...

Sasa huko Brazil yupo mpiga picha mmoja ameandaa project maalum ambayo anaiita O Project kuhusiana na afya ya kingono. Mradi wake ni kuhamasisha tendo hili na kuondoa vikwazo vyote ili kila mdada anufaike na kulifurahia tendo..

Ameanza mpango wake kwa kurecruit wanawake 22. Jamaa kwa jina anaitwa Marcos Alberti, amekuwa akiwapiga picha 4 za eneo la kichwani ili kuonyesha sura zao zinavyokuwa kabla ya kufika mshindo, wakiwa wanafika na baada ya kufika (nitaziweka hapa kwenye thread) ambapo amewapiga picha hizo wakiwa wanajichua kwa vifaa maalum (punyeto).

Photos-of-women-orgasming-3.jpg
Photos-of-women-orgasming-4.jpg
Photos-of-women-orgasming-5.jpg
Photos-of-women-orgasming-6.jpg



Anasema wazo hilo alilipata ili kuuonyesha umma kwamba mwanamke kupiga bao ni jambo la kweli na amechukua picha hizo ili kuwe na uhalisia. Yaani sio maigizo kama yale ya kwenye movies za ngono kwa sababu hakuna cha makeup wala photoshoot..

Wanawake ambao amewatumia wanatoka kwenye maeneo mbalimbali duniani. Wengine wametokea huko kwa wahafidhina, China na Singapore.

Alberti anasema yeye lengo lake kuu ni kuona wanawake duniani kote wanakuwa huru kuzungumzia suala la mshindo bila kuona haya!

Ni jambo bora sana kuruhusu mjadala kuhusu wanawake kukojoa. Kwa sababu ni wachache mno wanaofikishwa huko kiasi kwamba wengi wao wameshaona ni kawaida kuingia kwenye tendo na kumstarehesha mwanaume tu!

Vidume nanyi ni jukumu lenu kuanza kuzungumza vyema na wenzi wenu bila aibu jinsi mtakavyoweza kuwasaidia na wao wafurahi.
-------------------------
-------------------------

To my dearest English audience:

Having an orgasm is rarely quite so public.

Introducing the O Project, an initiative by Brazilian photographer Marcos Alberti and sexual wellbeing brand Smile Makers to dissolve the barriers surrounding female sexuality—specifically, female orgasms. After recruiting 22 women for the project, Alberti took four headshots of each of them before, during, and after they orgasmed. They masturbated using personal massagers, but everything below the waist was hidden from both the camera and the photographer.

"On the first meeting [with Smile Makers] I came up with this idea, to show female orgasms in a very real way," Alberti said in an email to Men's Health. "No photoshop, no makeup, no acting, no interference, just real life."

The women he used in his project come from all ethnicities and nationalities, some from traditionally conservative countries like China and Singapore. Alberti says his hope is that women across the globe can freely talk about orgasming without feeling embarrassed.

5 Ways To Give A Woman An Orgasm:

"We are sending the message to women everywhere that this is not a shameful secret," he said. "This is real, it is raw, and it is beautiful."

It's important to open up the discussion around the oft-elusive female orgasm. After all, studies show that women have significantly fewer orgasms than men. Of course, you can do your part in fixing that—here are 10 tips to get her closer to the big finish. (You can try adding this Almost Naked Personal Lubricant into the mix.)

SOURCE: These Photos Show Women Before, During, and After Orgasms
 
Kweli mkuu,at least 70% ya wanawake hawajawahi kufikia orgasim katika maisha yao na wala hawajui ni kitu gani.
 
Duh! Mm nawaulizaga kabla cjamalza had aniruhusu mwenyew unambie kafka
 
beth,

Aiseeeeh!

Kwa kweli leo umeamkia upande wako mwenyewe uujuao.
 
Okay. Niliwahi kusikia mtu kaitwa 'cum face', and I always wondered how one looked like. Anyway, hizo faces haziko genuine hasa ukizingatia wanatumia vifaa visivyo halisi(plastic joysticks) na wanajua kuwa wanaangaliwa.
 
Dah me huwa nawaangalia tu hawa mademu wa kibongo sura zao pale wanapotaka kupiz, aisee huwa ni sura za ajabu na ngumu kama za Pusha, mkwaju unaweza ukasinyaa
 
Wanawake nyie Mungu anawaona, siku sote mnasema sisi wanaume tukipiga bao sura zinakuwa kama nyani, kumbe na nyie mkipiga bao mnakuwa hivyo hivyo!!
 
Dunia ina mambo mengi sana kwa kweli.
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
 
Siku hizi nikiwa namkojoza nikiwa nafanya yangu nitakuwa nafunga camera zenye smile capture ili nikimkojoza nipate image yake
 
Back
Top Bottom