#COVID19 Picha Tafakuri ya Marais Watatu wa Afrika Mashariki wakipata chanjo ya Covid-19

#COVID19 Picha Tafakuri ya Marais Watatu wa Afrika Mashariki wakipata chanjo ya Covid-19

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hizi ni picha za Marais watatu wa east africa wakichoma Chanjo ya Covid 19.

Huu ndo uongozi unavyopaswa kuwa. Kuongoza kwa mfano.

Screenshot_20210729-102931~3.png

Screenshot_20210729-102940~3.png

Screenshot_20210729-102951~3.png
 
Matumizi ya mikono, anayedundwa mkono wa kulia ana hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom