Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

Huyu jamaa anaishi kawaida kabisa japokuwa ndie tajiri namba moja Africa. Hebu ktk hiyo picha tazama
1,Kalamu
2,Mapete vidoleni (hana)
3,Simu ya kawaida kabisa
FREEMAXENCE.
N'yadikwa
RC HALIMA DENDEGO.....ALIWAHI KUWA DC MPWAPWA, YUKO VIZURI...
 
Muislam safi huyo,hana makando kando kama ya yule marehemu wa Magomeni msoma nyota na mipete yake ya majini....
 
Hiyo simu yake unayosema ya kawaida unaijua bei yake?
 
Mada ilimhusu Dangote watu wamehamishia mjadala kwa RC,
Hatari bongo.
 
Yule jamaa wa Madale alipata senti za kununua kiwanja na gari ndogo akaamua kujiita kabisa Dangote wakati hana hata robo ya utajiri wa Dangote mwenyewe
 
Hata Warren buffet ana live large, anajinafikia tu kwenye media kwamba he is frugal, its pointless kuwa na mabilioni ya dola hlf uishi kimaskini labda hela ziwe za masharti Tyta
That's not not true,he lives a very modest life.Remarkably frugal.
 
Tofautisha Utajiri na Ulimbukeni, Ukiwa tajiri halali huna makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…