KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mkuu hao unaowasema mbona ndo tunawabandua daily kwenye majengo yetu ya vikuni?
Hongera kijana kwa kuwabandua kila siku....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hao unaowasema mbona ndo tunawabandua daily kwenye majengo yetu ya vikuni?
Na huyo jamaa wa kati kama vile.................Umemuona RC lakini? Gauni limempendeza sana
Shukrani kakaKijana kuwa na adabu.....pengine huyo ni sawa na mama yako mzazi......
Mkemee pepo wa ngono kichwani mwako sasa.....kwani usipofanya hivyo atayaangamiza maisha yako......
Mkuu siye tunazungumzia Msambwandwa wa RC.Eti simu ya kawaida? Unajua gharama ya hiyo simu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] yuko simple aseee![]()
![]()
![]()
[emoji115] Steve Jobs CEO wa Apple.
Billionaire lakini ukimtizama au kukutana naye utadhani ni mzee anayeshinda kwenye vijiwe vya kahawa yupo simple .
Sasa ww ukipata vi laki 3,5 zako kila mtu atajua utajishebedua,gari ulikimbize ututimulie mivumbi
Ila wakati unaandika haka kajiuzi ulikua unadhani ni Kanokia tochi.yes hiyo ni Nokia vertu inauzwa dola 5000 haya leta swali jingine[emoji53]
Kwa hiyo dola 5000 ni pesa ndogo ?? Ukawaida uko wapi hapo??yes hiyo ni Nokia vertu inauzwa dola 5000 haya leta swali jingine[emoji53]
ha ha mkuu maisha ya kimasikini ni yapi kweni? ukiwa tajiri huwezi kuishi maisha ya kimasikini by any means, lazima tu utaishi maisha ya kitajiriHata Warren buffet ana live large, anajinafikia tu kwenye media kwamba he is frugal, its pointless kuwa na mabilioni ya dola hlf uishi kimaskini labda hela ziwe za masharti Tyta
Mi pia. ...ha ha haKama mimi
Umetisha*Iko hivi*
“Maskini na tajiri wana mawazo tofauti.
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.
Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya.
Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri.
Maskini ana mawazo ya kupata pesa bila kufanya kazi.
Tajiri ana mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi.
Maskini hudhani tajiri ana tabia ya kuringa.
Tajiri hupenda kuzungukwa na watu sahihi wenye mawazo sawa na ya kwake.
Maskini hutengeneza pesa kwa kufanya kazi asizozipenda.
Tajiri hutengeneza pesa kwa kufanya kazi anazozipenda.
Maskini hudhani kuwa tajiri lazima usome sana.
Tajiri hudhani kuwa tajiri si lazima usome sana.
Maskini hutamani mambo mazuri ya wakati uliyopita.
Tajiri hutamani mambo mazuri ya wakati unaokuja.
Maskini huamini ili uwe tajiri lazima ufanye kitu fulani.
Tajiri huamini ili uwe tajiri lazima uwe kitu fulani.
Maskini hupenda kuburudishwa kuliko kuelimishwa.
Tajiri hupenda kuelimishwa kuliko kuburudishwa.
Maskini ana woga.
Tajiri hana woga.
Maskini hufundisha watoto wake jinsi ya kupambana na maisha.
Tajiri hufundisha watoto wake jinsi ya kuwa matajiri.
Maskini hana nidhamu ya mapato na matumizi.
Tajiri ana nidhamu ya mapato na matumizi.
Maskini hufanya kazi kwa bidii kupata pesa.
Tajiri hutumia pesa kupata pesa.
Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake.
Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.
Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa.
Tajiri huamini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine.
Maskini ana wivu wa chuki. Tajiri ana wivu wa maendeleo.
Fikiri kama anavyofikiri tajiri.
Ukifikiri tofauti na anavyofikiri tajiri, utakufa maskini.”
Chanyata Ubongo wako sasa!
Huku tena mkuu..!! ..yaani wakutosha....kasoro tu MMU..karib [emoji15][emoji15]Mkuu humu pia umo?