Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

Kuishi kawaida ni kufanyaje, na kusiko kawaida kukoje.
Hata hiyo kanzu aliyoivaa ikiuzwa inaweza lisha kijiji kizima, huo ukawaida unatoka wapi.
 
Mada ilimhusu Dangote watu wamehamishia mjadala kwa RC,
Hatari bongo.
no wonder kilichoandikwa hata hakijasomwa ila picha tu ndio imeonwa focus ikiwa ni RC[emoji38]
 
Akili yako kama avatar yako
Unasifia umenunua flat screen wakat ukatiki cinemax.
Raha ya gar. Si kuliendesha na MAJIRANI WAKUONE UNALIENDESHA.
 
Hahahah unanikumbusha mabilionea wa ukooo nyanda Za juu kusini!!!
 
Siunaona kale katoto kalikooa mke wa mtu!! Kamejichora kila sehemu kamebakisha kwenye [emoji108]
 
Haahaaaa, mkuu acha kujipendekeza kumiliki simu ya milioni 16 ni kuishi kawaida?! Hata kama unataka ajira kwake sio kwa kujipendekeza huko.
 
 
Jifariji hivyo hivyo tu
 
Watu wengi hawajui maana ya maisha.....ilihali wanaishi kwa kuwa wapo hai na wanapumua......

Tumezielekeza akili zetu na nguvu zetu kwenye vitu ambavyo havituletei furaha bali mahangaiko......na masikitiko

Bado watu hawajui wanataka nini maishani mwao.....hawajawahi kuwa na furaha maishani mwao...ili hali nyuso zao zina tabasamu na wana kila kitu ambacho wewe ungedhani kinawapa furaha......

Nyoyo zao hazina amani.....miili yao inazeeka kwa hofu....nyuso zao zimekunjamana kwa kuwazia KESHO yake ambayo hajawahi kuiona......

Wana vipato vikubwa lakini hawana raha kwani KESHO inawafanya wakose usingizi kana kwamba wana uhakika wa kufika kesho........

Wanapishana kwenye mabenki kila kukicha na hata kujinyima kula na kushiba leo kwa ajili ya kesho.......

Mwenye kuwajaalia ridhiki anawashangaa.....kwani hawana tofauti na wehu.....hakika ni wehu.....

Hawajali thamani ya afya zao wala uhai.....bali akili zao na afya zao wamezitoa kafara kwa ajili ya kesho.....lakini bahati mbaya wengi wana fariki bila ya hata kuiona kesho waliyokuwa wakiihangaikia......

Hakika hawa hawakuwahi kuishi ingawa tulikuwa tunawaona wakiwa hai na kupishana nao mahofisini na majumbani na barabarani.....

MAISHA YAKO NI SASA....ISHI SASA FURAHIA SASA.....TABASAMU SASA.....KWANI SASA NDIO MUDA UNA PUMZI NA UNAPUMUA......,

KUNA WATU WALIISUBIRI KESHO WAKAJIKUTA WAPO VITANDANI WAKIUGUZA MAJERAHA......

KUNA WATU WALIISUBIRI KESHO WAKAJIKUTA WANAOMBEWA DUA ZA MWISHO TAYARI KWA KWENDS KUZIKWA.....

NB; Linalowezekana leo....lisingoje kesho......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…