Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

Hiyo simu inauzwa sawa na TZS 16mn,nimeisoma humuhumu !
 
RC kabeba TV ya Chogo chini ya Mgongo?

Ma Binti wa Siku hizi hawapendi kuvaa Magauninkwa kuwa Wana.shep ya Mpini wa Jembe Ila hakuna vazi tamu Kama gauni! Kama umeviringwa ukaviringika!
.......eeeh, naazima macho...!
 
hebu tuonesheni na matajiri ambao wanaishi maisha ya kitajiri basi

maana mi hapa naona kama mnatakakupotosha kitu fulani na hoja zenu zenye upande mmoja wa shilingi...!!
 
Masharti ya mganga unaambiwa utajiri tunakupa ila ufanye hivi.
-usipake pafyum
-usivae viatu
-usilale juu ya kitanda
-usivae nguo ya thamani wala vito (dhahabu)
-usilale zaidi ya masaa kadhaa ukilala lazma uchome ubani(ufukize dawa)
-usifanye mapenzi hata siku 1
-usizae mtoto
Pesa unazo lakini huna uhuru nazo.
 
[emoji109][emoji109][emoji109]...[emoji115]!!!
 
Hongera mkuu japo unadalili za ukatili ila kwenye mapenzi unalegea.
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Duuuuh ...mapenzi sina mpango nayo maana hivi sasa natumia dawa za kukata nguvu za kiume...
 
Mkia
 
Ungalijua hiyo nguo alovaa ni bei gani wala usingeongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…