Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

Nadhani hapo anasalimiana na mkuu wa mkoa wa Mtwara.
Kwa hiyo Tajiri namba moja Afrika,anasalimiana
na mkuu wa mkoa wa mtwara uliopo nchini Tanzania,afrika mashariki.
 
Dangote kiumri tayari yupo juu. Yafanishe maisha yake na ya watu wa umri wake. Watu wa umri wake hata hapa kwetu ndio maisha wanayoishi, hawana complications katika uvaaji, simu na vitu vingine vya ki-lifestyle. Usifananishe maisha yake na vijana. Siku zote vijana wanapenda kuwa na maisha ya kutaka kumiliki vitu vikubwa. Mfano mzuri ni celebrities wa nje.
 
Ujinga ni kutaka mtu aishi kwa maoni yako. Tena ujinga zaidi ni kutaka mtu aishi unavyotaka wewe. Ujinga kabisa ni kutaka kila mtu aishi kama wewe na ikiwa aishi kama uwazavyo basi unataka kumkosoa!

Wewe unaishi kwa mawazo ya nani? Kuna mtu anakupangia nguo za kuvaa n.k? Wacha majungu
 
Hivi unajuaje kuwa hiyo simu si moja ya hizi hapa chini? Simu kama Vertu Diamond ni kidogo hivyo hivyo ila bei yake ni US $ laki kadhaa. Sasa wewe njoo na sijui Iphone 7 au Samsung Edge 64Gbts,utaaibika.

Ukubwa wa suruali siyo..... Ahhhh Watoto hawajalala bado.



201405121013115158.jpg


Huyu jamaa anaishi kawaida kabisa japokuwa ndie tajiri namba moja Africa. Hebu ktk hiyo picha tazama
1,Kalamu
2,Mapete vidoleni (hana)
3,Simu ya kawaida kabisa

Sisi ukipata hela za mkopo tu utavaa Mapete vidole vyote,utaning'iniza funguo za kavits ka mkopo hadi za mageti yote ya nyumbani kwako,utajifanya kuzungusha round wakati hela yenyewe ndio hiyohiyo, nk nk Tunaishi kimaigizo sana.
Tuna kiburi,jeuri,tu wavivu wengi wetu,hatuheshimu kazi,tunapenda sana siasa kuliko uchumi,si ajabu tutasalia hivihivi.
Tubadilike watanzania wenzangu.
6cd7bbf8e0f5f153db999ae0378ea684.jpg

FREEMAXENCE.
N'yadikwa
 
Huyo mama anamwona jamaa wa pembeni hapo kama kauzibe...

anatamani tu jamaa asepe ili aongee na Dangote vizuri.
 
8434958c50a742f8aaa1c18337011fa2.jpg


a53e3cd8603021581f7a051d6b2a90d7.jpg


29dc2360ff4a26a4b8facb4cfeccab9d.jpg


[emoji115] Steve Jobs CEO wa Apple.
Billionaire lakini ukimtizama au kukutana naye utadhani ni mzee anayeshinda kwenye vijiwe vya kahawa yupo simple .

Sasa ww ukipata vi laki 3,5 zako kila mtu atajua utajishebedua,gari ulikimbize ututimulie mivumbi
Kila mtu Na lifestyle yake jombaaaaa
 
Mtoa uzi isiwe unatoa maneno makali sababu ya njaa, weka wallet yako mezani kwanza ndo mazungumuzo yaendelee.
 
*Iko hivi*

“Maskini na tajiri wana mawazo tofauti.

Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.

Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.

Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya.

Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri.

Maskini ana mawazo ya kupata pesa bila kufanya kazi.

Tajiri ana mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi.

Maskini hudhani tajiri ana tabia ya kuringa.

Tajiri hupenda kuzungukwa na watu sahihi wenye mawazo sawa na ya kwake.

Maskini hutengeneza pesa kwa kufanya kazi asizozipenda.

Tajiri hutengeneza pesa kwa kufanya kazi anazozipenda.

Maskini hudhani kuwa tajiri lazima usome sana.

Tajiri hudhani kuwa tajiri si lazima usome sana.

Maskini hutamani mambo mazuri ya wakati uliyopita.

Tajiri hutamani mambo mazuri ya wakati unaokuja.

Maskini huamini ili uwe tajiri lazima ufanye kitu fulani.

Tajiri huamini ili uwe tajiri lazima uwe kitu fulani.

Maskini hupenda kuburudishwa kuliko kuelimishwa.

Tajiri hupenda kuelimishwa kuliko kuburudishwa.

Maskini ana woga.

Tajiri hana woga.

Maskini hufundisha watoto wake jinsi ya kupambana na maisha.

Tajiri hufundisha watoto wake jinsi ya kuwa matajiri.

Maskini hana nidhamu ya mapato na matumizi.

Tajiri ana nidhamu ya mapato na matumizi.

Maskini hufanya kazi kwa bidii kupata pesa.

Tajiri hutumia pesa kupata pesa.

Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake.

Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.

Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa.

Tajiri huamini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine.

Maskini ana wivu wa chuki. Tajiri ana wivu wa maendeleo.

Fikiri kama anavyofikiri tajiri.

Ukifikiri tofauti na anavyofikiri tajiri, utakufa maskini.”

Chanyata Ubongo wako sasa!

Well said mkali wangu
 
Hiyo siku Dangote alitoka na ndege yake binafsi Nigeria akatua Angola, akatoka Angola akatua Tanzania.. Akatoka Tz akatua Ethiopia na jioni akarudi nyumbani Nigeria.. U can imagine ndani ya siku moja ametembelea nchi 4 tofauti.. Kila mtu na matumizi yake. Mwambie mleta uzi aache kupangia watu jinsi ya kuishi
Hapo akitaka mwanamke yeyote anamchukua tu.
 
Wabongo mnavisa, choose your life style..... ndo maana tunakuwa mabonge siku hizi bila sababu....
 
Back
Top Bottom