Wakuu,
Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu?
Ukifungua website ya bunge inaonesha huyu baba tangu mwaka 2020 kauliza maswali mawili tu.
Mtu kama huyu ana impact gani kwenye vikao vya bunge? Kwanini bado anapokea posho na mishahara inayotokana na kodi za wananchi?
Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?
Kwa kifupi tangu mwaka 2022, Fredy hajatoa mchango wowote bungeni. Kwa hiyo anaingia bungeni anapigwa kiyoyozi , kikao kikiisha anapokea 600,000 huyo anaondoka.
Wana Monduli, inabidi mjitafakari sana kumrudisha huyu baba bungeni.
Ni aibu sana!