Pre GE2025 Picha: Tangu aingie bungeni mwaka 2020 Fred Lowassa ametoa michango 2 tu kwenye vikao vya bunge. Huyu anafanya nini bungeni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja imejikita kwenye vikao vya bunge sio kamati!
kumuhukumu kwenye vikao vya bunge vilivyo live tu ni kumuonea bila takwimu. Tupe wasitani wa michango kwenye vikao vya bunge kwa wabunge wote. kisha tupe takwimu ya aliyechangia mara nyingi na aliyechangia mara chache. ili tupime wenyewe uhalali wa kumshutumu mbunge!
 
Wakuu,

Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu?

Ukifungua website ya bunge inaonesha huyu baba tangu mwaka 2020 kauliza maswali mawili tu.

Mtu kama huyu ana impact gani kwenye vikao vya bunge? Kwanini bado anapokea posho na mishahara inayotokana na kodi za wananchi?

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Kwa kifupi tangu mwaka 2022, Fredy hajatoa mchango wowote bungeni. Kwa hiyo anaingia bungeni anapigwa kiyoyozi , kikao kikiisha anapokea 600,000 huyo anaondoka.

View attachment 3261045

Wana Monduli, inabidi mjitafakari sana kumrudisha huyu baba bungeni.

Ni aibu sana!
Halafu bado anaitwa honourable
 
Wewe ni Binti 2,000???
Maana unamuita Fredy "Baba" wakati me namuita "kijana".
 
Back
Top Bottom