Picha & taswira za yaliyojili kwenye mahakama ya Kisutu wakati Sheikh Ponda alipofikishwa Mahakamani

Picha & taswira za yaliyojili kwenye mahakama ya Kisutu wakati Sheikh Ponda alipofikishwa Mahakamani

Hilo janga linalofuata mungu pekee ndo anajua kitakachotokea.Ni wakati wa Waislamu kukaa chini na kuchukua maamuzi magumu uvumilivu ukizidi unainekana muoga
mkuu hilo janga ni pamoja na kuchoma makanisa kama kawaida yenu? ama kutumia akili zenu vizuri kufanya maamuzi ya kimapinduzi zaidi dhidi ya serikali dhaifu ya ccm?
 
Sikonge, nngu007,

..inawezekana Ponda analala nyumbani kwake, au kwa mkuu wa gereza.

..mtu aliyelala mahabusu hawezi kuwa nadhifu kama anavyoonekana Ponda.

..hebu linganisheni muonekano wa Shekhe Ponda na washtakiwa wenzake.
 
Last edited by a moderator:

Kama ni UKONGA kuna MAHABUSU ya VIONGOZI wa SERIKALI; Watu Mashuhuri na Watu wanaofanya WHITE COLOR CRIMES... Hawakai kwenye kundi la Mahabusu wengine...

Mfano; Wale Mawaziri MRAMBA na Mwenzake; Hawakuwa kwenye GEREZA la kawaida; PONDA pia lakini yule aliyebebwa na kuzimia anakula na kulala kwa WALALA HOI... Kazirai hapawezi HUKO...
 
nngu007,

..kama ni hivyo anaweza asiache ukorofi huyo.

..unajua kwenye nchi za wenzetu kuna watu wengine wanazua zali tu kwasababu jela kwao ni bora kuliko uraiani.
 
Last edited by a moderator:
nngu007,

..kama ni hivyo anaweza asiache ukorofi huyo.

..unajua kwenye nchi za wenzetu kuna watu wengine wanazua zali tu kwasababu jela kwao ni bora kuliko uraiani.

The Most torturous and also causes Mental instability ni ISOLATION... Wana-kuisolate; Wanakupa CHAKULA chumba kizuri lakini SIO NYUMBANI... Hakuwa wa kuongea nae LABDA KUTA;

Jaribu siku MOJA kaa CHUMBANI kwako hakuna SIMU, MTU wa kuongea MUZIKI au KELELE NJE - Utapata Ukichaa
 
HAWA ASKARI wanao Vaa MAGWANDA MEUSI ndio WANAITWA NANI???

Wanaitwa KMKGM (Kikosi Maalumu cha Kutuliza Ghasia Magerezani) hawa jamaa ni noma FFU yenu irudi nyuma. Bora ukutane na FFU lakini sio hawa jamaa.
 
Kumbe serikali ina vikosi vingi vya kulinda usalama, kuna viongozi wengine wa kisiasa wanasema eti tutaingia barabarani na nchi haitatawalika wajaribu waone.
 
Chezea sheria wewe, jamaa kawa mpole balaa, yani ukiangalia body language yake inaonyesha he has no hopes!
 
Ponda Issa Ponda ni hatari afungwe pingu miguuni na mikononi
 
Nimefurahi, kumbe Tanzania ulinzi upo. Big Up JK na Big Up Said Mwema!!

ulinzi wa wakuwalinda waislamu upo lakini wakulinda maliasili zetu haupo ulinzi kama huo ungefanywa kwenye mbuga na migodi tungekuwa mbali sana
 
Hiki kikundi kimewapotosha sana vijana mbagala tmk tandika koote ambako Ponda ameeneza sana ushawishi wa chuki hasa ameanzia kwenye mali za waislamu na bifu na bakwata.huko tuendako si salama kabisa,wakianzisha udini na wakachanganya sa siasa kuna siku hatutakuja kuelewana kabisa,na hiyo siku naiona yaja.....
 
Sijawaona hawa mbwa wetu siku nyingi sana.......wameanza kukonda.....nadhani bajeti ya nyama imepungua sasa

DSC_0580.jpg
 
Sijawaona hawa mbwa wetu siku nyingi sana.......wameanza kukonda.....nadhani bajeti ya nyama imepungua sasa

DSC_0580.jpg
Jeshi la Polisi linatakiwa liwaajiri mbwa wengi kama hawa...wanafaa sana kudhibiti hawa jamaa wenye msimo mkali...
 
Back
Top Bottom