mkuu hilo janga ni pamoja na kuchoma makanisa kama kawaida yenu? ama kutumia akili zenu vizuri kufanya maamuzi ya kimapinduzi zaidi dhidi ya serikali dhaifu ya ccm?Hilo janga linalofuata mungu pekee ndo anajua kitakachotokea.Ni wakati wa Waislamu kukaa chini na kuchukua maamuzi magumu uvumilivu ukizidi unainekana muoga
Kumbe inawezekana kuwa na utawala bora unaotii sheria
HAWA ASKARI wanao Vaa MAGWANDA MEUSI ndio WANAITWA NANI???
nngu007,
..kama ni hivyo anaweza asiache ukorofi huyo.
..unajua kwenye nchi za wenzetu kuna watu wengine wanazua zali tu kwasababu jela kwao ni bora kuliko uraiani.
HAWA ASKARI wanao Vaa MAGWANDA MEUSI ndio WANAITWA NANI???
Hebu tudokeze yanayosemwa. Humu JF hakuna anayekujua wewe, tuambie tu, utakuwa pia umevisaidia vyombo vya usalama kukabiliana nao.
HAWA ASKARI wanao Vaa MAGWANDA MEUSI ndio WANAITWA NANI???
Nimefurahi, kumbe Tanzania ulinzi upo. Big Up JK na Big Up Said Mwema!!
hawa askari wanao vaa magwanda meusi ndio wanaitwa nani???
Jeshi la Polisi linatakiwa liwaajiri mbwa wengi kama hawa...wanafaa sana kudhibiti hawa jamaa wenye msimo mkali...Sijawaona hawa mbwa wetu siku nyingi sana.......wameanza kukonda.....nadhani bajeti ya nyama imepungua sasa