Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumekuchaView attachment 1832918
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama. Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Jana mkuu🙌🙌🙌Kulikuchwa lini?
Mimi nadhani angeondoa hilo jeusi, ingevutia.View attachment 1832918
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama. Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Sasa hiyo urembo ndio inatisa 😀😀😀Ni urembo ambao pia ameweka canopy’s kwenye madirisha ya pembeni.
Mvuto wake Ni kidigo mno!View attachment 1832918
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama. Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Hujatembea weweHivi Tanzania wapo watu wenye nyumba za namna hii? Na zipo kwenye hayo mazingira?
View attachment 1834106
View attachment 1834107
View attachment 1834108
View attachment 1834109
View attachment 1834110
View attachment 1834111
Aise, kama ni hivyo Basi Tanzania tumebarikiwa sana .Hujatembea wewe
Haziwezi kuwa haswa kama hivyo lakini mazingira kama hayo zipo sana tu, nilizunguka mikoa mingi na haswa ndani ndani huko machimbo kama hayo hukosiAise, kama ni hivyo Basi Tanzania tumebarikiwa sana .
Unaweza nambia maeneo gani naweza kuziona nyumba za namna hiyo.
Lazima Bongo nije kuweka kitu chakufanana na hicho. Nazipenda sana nyumba design hiyo.Haziwezi kuwa haswa kama hivyo lakini mazingira kama hayo zipo sana tu, nilizunguka mikoa mingi na haswa ndani ndani huko machimbo kama hayo hukosi