Picha: Tazama jengo linalovutia

Picha: Tazama jengo linalovutia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1624846935108.png
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama.

Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
 
View attachment 1832918
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama. Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Mimi nadhani angeondoa hilo jeusi, ingevutia.
 
View attachment 1832918
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga contemporary roof ili kupunguza gharama. Katika kufanya hivyo uwe tayari kwa matokeo ya muda mrefu.
Mvuto wake Ni kidigo mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu mdg unapendaga Sana mambo ya ujenzi wa kisasa nikipata mapesa nitakutumia unishauri mafundi Bora na gharama zao..na ku save
 
Aise, kama ni hivyo Basi Tanzania tumebarikiwa sana .
Unaweza nambia maeneo gani naweza kuziona nyumba za namna hiyo.
Haziwezi kuwa haswa kama hivyo lakini mazingira kama hayo zipo sana tu, nilizunguka mikoa mingi na haswa ndani ndani huko machimbo kama hayo hukosi
 
Haziwezi kuwa haswa kama hivyo lakini mazingira kama hayo zipo sana tu, nilizunguka mikoa mingi na haswa ndani ndani huko machimbo kama hayo hukosi
Lazima Bongo nije kuweka kitu chakufanana na hicho. Nazipenda sana nyumba design hiyo.
I think Mbeya au Njombe panafaa zaidi.
 
Grand Design napenda sana kuangalia maana nyumba wanazojenga watu ni nzuri sana na ubunifu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom