Picha: Tazama simu feki ya iPhone 4S zilizo mitaani

Matumbulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Posts
315
Reaction score
265
Wana jf, kuna simu feki mitaani zinauzwa zikionesha nje zina 64gb, lakini ndani wameka memory card ya 128mb. ndani kuna system ya kuchaji tu na hakuna betri ya kutoa kama tulivyozoea kwenye simu jingine. HII NI KWA TAHADHARI TU.
 
Umesema Picha,
Mbona haipo sasa??
 
mbona picha ujaweka wakat umeandika picha. au ndio utapeli wenyewe huu au wewe ni mmojawapo.
 
mbona zipo nyingi sana ila zinajulikana japo wengi sana wamelizwa zipo mpk galaxy s3
 
Back
Top Bottom