PICHA: TLS yawakutanisha Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani, ili kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazowakabili

PICHA: TLS yawakutanisha Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani, ili kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazowakabili

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewaleta Pamoja Mkoani Morogoro leo Tarehe 10 Mei 29024 Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchini. TLS inashirikiana na FCS kupitia mradi wa Uraia Wetu kwa udhamini wa Umoja wa Ulaya.
IMG-20240510-WA0005.jpg
IMG-20240510-WA0006.jpg
IMG-20240510-WA0007.jpg
IMG-20240510-WA0008.jpg
IMG-20240510-WA0009.jpg
IMG-20240510-WA0011.jpg
IMG-20240510-WA0010.jpg
IMG-20240510-WA0013.jpg
IMG-20240510-WA0012.jpg
IMG-20240510-WA0014(1).jpg
IMG-20240510-WA0014.jpg
 
sijui niwaite waoga au watiifu
sheria za uchaguzi zimejaa utapeli na wanaziangalia tu na wapo kimya
 
Back
Top Bottom