Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Najua baada ya october 28 Jf itapooza sana

Itapooza kwa kipi? Mmenajisi uchaguzi wa SM, mbona jukwaa halikupooza? Ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana unaona kimefanya siasa miaka mitano pekee yake, lakini bado wataka mabadiliko wako juu.
 
Vipi mko tayari kuruhusu picha za drone, ile tunaita aerial view, na oblique view,
 
Mkuu Mkuu hiyo haina shida,hayo ni mapenzi makubwa sana kwa Rais mtarajiwa na kwa Mbunge wa Mbeya kama watu wamesafiri toka mbali kuja kusikiliza Sera kwa gharama zao
 
CCM Wanatafuta uhalali ili wakichakachua msilaumu kwan ati walikuwa na watu wengi mikutanoni mwao ila kiukweli hawakubaliki kabisa hawa nzi wa chooni
Uhalali lazima uwepo kwa sababu hao watu wamepanda wenyewe kwa hiari yao kwenye hayo mafuso na kwenda kwenye mkutano wa ccm kinyume na hivyo wangekataa,mfano wewe mkuu ukiona fuso la ccm utapanda kwenda kwenye mkutano wa ccm?
 
Hiyo picha ya hapo juu ni ya kampeni za Lowasa 2020, Lisu wapigakura wake wanamsubiri katika box la kura hawaji katika mikutano
 
Mnadanganyana kwamba wingi wa watu ndo wingi wa kura,subirini October mtalia na kusaga meno.
Hamtaamini kitakachowapata.
 
Hii picha ndo kitu nachosema siku zote.... wawekwe vijana wa upinzani kufichua huu upuuzi kwa vithibitisho.....

Na ikifika uchaguzi wawe wameandaliwa vijana katika kila kituo kuhakikisha wanafichua mbinu ovu hasa za kuleta mabox yankura fake nk...

Utandawazi unawaumbua kwa kweli...
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
Mwisho wa siku subconcious inafunguka na kutuma taarifa kwenye cincious kwamba tundu lisu ndo mtu sahihi... hivyo lisu anapata wapiga kura wapya.....

Huoni hii ni faida hata kama wanaenda kumshangaa?
 
Fiesta nayo unaiita mikutano ya kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…