Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
kwa sababu wana copy&paste tu na kuweka, sasa kwa kiswahili ni lazima wafanye kazi kidogo ya kutafsiri, sasa unajua tanzagiza na kufanya kazi ni vitu viwili tofauti ...