Picha:Tujikumbushe ukaribu wa Nyerere na mama wa kizungu ulivyomkera Mama Maria

Picha:Tujikumbushe ukaribu wa Nyerere na mama wa kizungu ulivyomkera Mama Maria

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Picha inajieleza;Inasemekana hadi mama Maria alishawahi kumpiga huyu mama wa kizungu makofi maana aliona kama anataka kuleta za kuleta maelezo yapo kwa picha
1679228006042.jpg
 
Vitu vingine tufanye research kabla ya kuandika uzushi WA kuchafua watu...
Mke yupi aliekuja kuwapatanisha?
Winnie Mandela?Graca Machel Mandela ?mwaka gani??
Manake Mandela kaja na Winnie wakati Rais ni Mwinyi.....na Ikulu yupo Mwinyi...Nyerere unasema kamrudisha Butiama..mama Maria kutokea wapi?msasani?? huyu Mzungu alimfata Nyerere msasani??
 
Kufa usemwe...hii ndio Tanzania
 
Sio tu ni porojo bali uongo mkubwa..
 
Source ya hii habari ni wapi
Akihojiwa na Azam TV kwenye kipindi cha Zumari Kachero Bobezi aliewahi kuwa Waziri wa Utumishi na Utawala bora wakati wa Mzee Mkapa ambae pia alikuwa ndio Mwendesha mashtaka Mkuu wa kesi ya Uhaini 1983 Afande Tatu Ntimizi anasema kuna siku Mama Maria alipanda kinguvu kwny Msafara wa Baba wa Taifa akielekea Dodoma

anasema mara baada ya Ndege ya Rais kutua Dodoma, Mwl akaomba msaidizi wake amtafute haraka Tatu, na alipomkaribia Nyerere akamnong'oneza Luna Mzigo wako kwny gari ya Nyuma…aliposogelea gari ya Nyuma akamkuta Mama Maria ndani ya Gari na kwa akili za kikachero akajua,

ikabidi atumie mbinu zake kumpeleka kwake na kumpa nguo za kubadilisha hali hiyo iliwezesha Ratiba ya Mwalimu kuendelea kama kawaida
 
Huo ndio ukweli huyu mzungu alikuwa close sana na mwalimu tangu uhuru,alikuwa ni msaidizi wake pale ikulu,hotuba nyingi za mwalimu katika mikutano ya kimataifa ziliandikwa na huyu mama alikuwa akiishi maeneo ya Mgulani kwenye hostel za jeshi la wokovu kwa miaka mingi,kwa ufupi alikuwa mtumishi wa ikulu na best yake na mwalimu
 
Back
Top Bottom