Akihojiwa na Azam TV kwenye kipindi cha Zumari Kachero Bobezi aliewahi kuwa Waziri wa Utumishi na Utawala bora wakati wa Mzee Mkapa ambae pia alikuwa ndio Mwendesha mashtaka Mkuu wa kesi ya Uhaini 1983 Afande Tatu Ntimizi anasema kuna siku Mama Maria alipanda kinguvu kwny Msafara wa Baba wa Taifa akielekea Dodoma
anasema mara baada ya Ndege ya Rais kutua Dodoma, Mwl akaomba msaidizi wake amtafute haraka Tatu, na alipomkaribia Nyerere akamnong'oneza Luna Mzigo wako kwny gari ya Nyuma…aliposogelea gari ya Nyuma akamkuta Mama Maria ndani ya Gari na kwa akili za kikachero akajua,
ikabidi atumie mbinu zake kumpeleka kwake na kumpa nguo za kubadilisha hali hiyo iliwezesha Ratiba ya Mwalimu kuendelea kama kawaida