heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
hujazuiwa kuniongelea tatizo una dharau na kejeri Evelyn SaltYou see huwezi kumsema diamond without HOD tatizo tukikuongelea unamind
basi acha kazi banaaaa aaaah
hujazuiwa kuniongelea tatizo una dharau na kejeri Evelyn Salt
Ha ha ha ha we unajishtukia tu, we nani kwani hadi mi nikudharau
Kwa majibu sikuwezi mie atakoma ila hajui unamfagilia basi tu
Aaah huyu msukuma anataka kuntibua tu, ye mwenyewe anajijua ni celebrity
tutaachaje kumfollow ha ha ha
na siachi kufatilia habari zake nshasema
Ni muhimu sasa ajifunze kupiga vyombo badala ya kuchezesha midomo
HOD KAFUKUZWA KAZI?/HEHEHE...(Just Joking)..
Mwacheni Nasibu aitwe Diamond...wakati wake huu; kutompenda ni kujitafutia stress bila sababu za msingi.
Nilishawahi kumpa somo huyu ingawaje sina uhakika ikiwa alilifuata au alilipotezea lakini kwa maoni yangu lilikuwa ni somo mujarabu ingawaje lazima nikiri darsa la mara moja ni ngumu kumbadilisha mtu.Nkwei kabisa ngosi, kijana anajituma sana ila huyu Hod aendelee na kazi ya upiga picha tu Diamond sasa apate mtu wa Pr professional ambaye akija JF anakuja kikazi siyo huyu HOD yeye analazimisha na yeye awe celeb kwa mgongo wa Diamond.
utafiti wangu unaonesha HOD ndiye anayechafuwa image nzuri ya Diamond hapa JF.
Mbn za mie mmeo hufwatilii?
Nyoooooo utakufa nacho hicho,unacho kimekuganda.
.Mbn za mie mmeo hufwatilii?