PICHA: Tukio Lililojiri La Diamond Kule Coco Beach Akipafomu

PICHA: Tukio Lililojiri La Diamond Kule Coco Beach Akipafomu

IMG_0037.JPG

IMG_0047.JPG

IMG_0053.JPG

IMG_0067.JPG

IMG_0080.JPG

IMG_0090.JPG

IMG_0117.JPG

IMG_0123.JPG

Picha
na
bkuHABARI

Hongera sana Preseder,wakimbize miaka 100
 
Mwacheni Nasibu aitwe Diamond...wakati wake huu; kutompenda ni kujitafutia stress bila sababu za msingi.

Nkwei kabisa ngosi, kijana anajituma sana ila huyu Hod aendelee na kazi ya upiga picha tu Diamond sasa apate mtu wa Pr professional ambaye akija JF anakuja kikazi siyo huyu HOD yeye analazimisha na yeye awe celeb kwa mgongo wa Diamond.

utafiti wangu unaonesha HOD ndiye anayechafuwa image nzuri ya Diamond hapa JF.
 
Nilishawahi kumpa somo huyu ingawaje sina uhakika ikiwa alilifuata au alilipotezea lakini kwa maoni yangu lilikuwa ni somo mujarabu ingawaje lazima nikiri darsa la mara moja ni ngumu kumbadilisha mtu.
 
Mbn za mie mmeo hufwatilii?

Sa kwani we ni celebrity jameni....
afu we ulivonaking'ang'anizi cha kudandia tu kwenye thread za watu na neno lako la jehanam
inabidi tukusome kwa lazma ha ha ha
tutake tusitake tutakusoma tu
 
Nyoooooo utakufa nacho hicho,unacho kimekuganda.

Haisadii hata ukitukana ,ukweli ndio huu wewe ni sawa na akina ndio mzee ,kwamwanamuziki kujua kupiga vyombo kuna faida kubwa kuliko kubaki kuchezesha midomo na kukata mauno
 
Mbn za mie mmeo hufwatilii?
.
Out of Topic
.
Umeniacha hoi hapa kiongozi
.
JF Senior Expert Member
Array
Join Date : 3rd January 2014
Location : MPUGUSO
Posts : 2,063
Rep Power : 2404843
Likes Received:
430
Likes Given:
190
 
Back
Top Bottom