Bibi we, si ajabu hapo siku tatu hajala kitu cha kueleweka.
Mjini hapa mkuu, nani atapost insta chai ya rangi na ndizi za kuchemsha?Kuumbe,hizo picha za vyakula vyakula zitakua za showoff tu.
Mjini hapa mkuu, nani atapost insta chai ya rangi na ndizi za kuchemsha?
kumsema mtu kuwa anafanya starehe ni uchawi.waacheni wale asee.mwanamke mzr asiye na akil sehem zake nyeti ndo zinapata tabu.dunia kubwa bna huwezi kuimaliza
warumi davtor ndo nani?? Madaktari siku hizi badala ya kutibu wanapangia wanawake nyumba.. sijui mishahara yao haikatwi 15% ya bodi.Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
Naona kaamua kupunguza anasaHahaaa kweli,mwenzao linah keshatulizwa tuliii kabaki kutuoView attachment 474720 nyeshea fashion za ajabu za mama vijacho
Naona kaamua kupunguza anasa
Kaamua kuitwa mama sasa
Haa haa ndo mastar wetu wa bongoSema kapunguzwa spidi bila kupenda akijifungua tutaringishiwa mtoto mpaka account insta itafunguliwa kwa ajili ya mtoto.(caption english tupu)
Hapa sawa kula ufaidi hali yenyewe maana masikini kumchukia tajiri
Huwezi jua ni mipango ya MUNGUHuyu atakufa masikin