Picha: Tunda na Husna Maulidi wakila bata

Picha: Tunda na Husna Maulidi wakila bata

Hahaaa kweli,mwenzao linah keshatulizwa tuliii kabaki kutuo
16906238_399144327129949_8672141876658176000_n.jpg
nyeshea fashion za ajabu za mama vijacho
Mjini hapa mkuu, nani atapost insta chai ya rangi na ndizi za kuchemsha?
 
Mshana jr akipost story za uchawi mnasema vibaya hamuanin kua uchawi upo ila huku jukwaa la celebrity mnakuja kuukubali.
kumsema mtu kuwa anafanya starehe ni uchawi.waacheni wale asee.mwanamke mzr asiye na akil sehem zake nyeti ndo zinapata tabu.dunia kubwa bna huwezi kuimaliza
 
Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
e32b870070d766aba9a71762b35693a4.jpg
warumi davtor ndo nani?? Madaktari siku hizi badala ya kutibu wanapangia wanawake nyumba.. sijui mishahara yao haikatwi 15% ya bodi.
 
Huyo papuch anayo
Inampa kila anachotaka
 
Sema kapunguzwa spidi bila kupenda akijifungua tutaringishiwa mtoto mpaka account insta itafunguliwa kwa ajili ya mtoto.(caption english tupu)
Haa haa ndo mastar wetu wa bongo
Hao kuiga majuuu n.kawaida yao
 
Illusion tu izo! Hao watoto wanapanikisha tu wenzio uko kwenye mitandao na fake life.
 
Kipindi nipo Migomigo maskani nasugua benchi kwenye huu msururu wa ajira za kibongo i met few young guys ambao wamepata exposure hapa kibongo bongo. Swali langu kubwa kwao lilikuwa hivi hizi laki kadhaa wanazokutana nazo mara mara huwa wanazifanyia anything productive mf. Kujiendeleza kielimu,kufanya investment ndogo ndogo aiseee nilikuwa naangaliwa jicho la kebehi hadi nikaacha kuwahoji wakija skani 🙂
 
Back
Top Bottom