mazagazagaa
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 290
- 209
kawaida sana... vijana ni kutafuta pesa matumizi unajipangia utakavyo..Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
Hapo lazima madawa ya husike tu kwa hizo chupa, mshahara wa mtu hautoshi kulipia,Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
Yani utadhani lequor shop...Hapo lazima madawa ya husike tu kwa hizo chupa, mshahara wa mtu hautoshi kulipia,
Hahaha ilishawahi kunikuta hy Mkuu itabidi ni bushit kampani za kiboya simu zao.....oyaaaa leo bata wapi?Kipindi nipo Migomigo maskani nasugua benchi kwenye huu msururu wa ajira za kibongo i met few young guys ambao wamepata exposure hapa kibongo bongo. Swali langu kubwa kwao lilikuwa hivi hizi laki kadhaa wanazokutana nazo mara mara huwa wanazifanyia anything productive mf. Kujiendeleza kielimu,kufanya investment ndogo ndogo aiseee nilikuwa naangaliwa jicho la kebehi hadi nikaacha kuwahoji wakija skani 🙂
Dah!!!
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani utadhani lequor shop...
sasa mimba changa na mipombe mikali na sigara si atazaa taahira?
khaaa hiyo nguo balaaaHahaaa kweli,mwenzao linah keshatulizwa tuliii kabaki kutuoView attachment 474720 nyeshea fashion za ajabu za mama vijacho
Hahaaaaaaa huwa nikisoma maandishi yako na avatar sielewi kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anakaa ununio kwa shoga ake
binamu naomba nkuulize.?!![emoji101] [emoji101] [emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjini hapa mkuu, nani atapost insta chai ya rangi na ndizi za kuchemsha?
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Si mpaka mpate hyo fursa ya kuwaita mashemeji, mtawaonea wapi sasa, mtaishia kupiga puli na picha zao za insta[emoji23] [emoji23] [emoji23]
... You're right huwezi agiza chupa zaidi ya 20 za whisky at one time, it is unrealistic.Mbona kama tangazo?