Picha: Tunda na Husna Maulidi wakila bata

Picha: Tunda na Husna Maulidi wakila bata

Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
e32b870070d766aba9a71762b35693a4.jpg
kawaida sana... vijana ni kutafuta pesa matumizi unajipangia utakavyo..
 
Warumi angalia unaweza kuungua cancer. Ukifuatilia yawatu
 
Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu but hivi hizi pesa za kuchezea hivi huwa mnapata wapi? Maana hizo bata zenu kwa kweli sio za nchii hii
e32b870070d766aba9a71762b35693a4.jpg
Hapo lazima madawa ya husike tu kwa hizo chupa, mshahara wa mtu hautoshi kulipia,
 
Kipindi nipo Migomigo maskani nasugua benchi kwenye huu msururu wa ajira za kibongo i met few young guys ambao wamepata exposure hapa kibongo bongo. Swali langu kubwa kwao lilikuwa hivi hizi laki kadhaa wanazokutana nazo mara mara huwa wanazifanyia anything productive mf. Kujiendeleza kielimu,kufanya investment ndogo ndogo aiseee nilikuwa naangaliwa jicho la kebehi hadi nikaacha kuwahoji wakija skani 🙂
Hahaha ilishawahi kunikuta hy Mkuu itabidi ni bushit kampani za kiboya simu zao.....oyaaaa leo bata wapi?
 
Huyu mwenye singlet ndio nani? Kifua chake kimependeza
 
Si mpaka mpate hyo fursa ya kuwaita mashemeji, mtawaonea wapi sasa, mtaishia kupiga puli na picha zao za insta[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Natamani kuendelea kusoma comments za watu zaidi
 
Back
Top Bottom