PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Inapaswa uchonge sanamu ya Samia uanze kumuabudu kabisa
 
Mimi nadhani namna nzuri ya kumsaidia si kumsimanga bali ni kwa wewe mwashambwa kujitolea kwa moyo mmoja bila kushurutishwa na yeyote kuwa mke wa pili wa lissu ili upate nafasi ya kumuandalia mavazi
 
Lisu akili kubwa ndo maana unamjadili hapa kwa kuvaa kwake hivyo kwa ushamba wako
 
Picha yako tafadhali tuone ulivyotokelezea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…