PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
IMG_3701.jpeg
 
Hawa wakuu wa mikoa wangekuwa wanachagiliwa na wananchi, sio wanateuliwa tu kama uyoga na mtu mmoja.
Na hili ni moja ya sababu ya kudai katiba mpya. Rais ana Mamlaka karibu sawa na ya Mwenyezi Mungu. Akisema ufe, hata kama huna kosa utakufa.

Tundu Lissu yupo jela kwa zaidi ya Mwaka kisa ni mpinzani kisiasa. Ni lazima tutafute suluhisho la kudumu ambalo ni katiba mpya inayotokana na wananchi
 
Duh mpka kinyaa hiyo picha

Ova
Na ndio panafanya watu wanapishana chooni hapo yaan watu wa maeneo mengi wanahemea hapo ukiachana na kule magomeni usalama ambako pamejengwa vizuri hivi wanashindwa kujenga vizuri na hapo au kuna kitu kingine kimejificha?
 
Hii nadhani ni mabibo sokoni ali maarufu kama mahakama ya ndizi...zamani wakati soko likiwa linajiendesha chini ya Urafiki ilikua rahisi kufanya marekebisho...ila toka serikali iingie ni uchafu mtupu...Mfano ni choo cha kulipia kilichopo katikati ya soko kabla ya serikali kuingia kilikua ni kisafi na marekebisho yanafanyika pindi yanapohitajika...sasahivi ukitaka kwenda hapo lazima uzibe pua...au ujitembeelee zako vyoo vya nje...tunaweza kuilamu sana serikali..ila Tatizo ni watendaji wabovu wametanguliza tumbo na uchawa mbele huku uwezo wao wa kufikiri na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii wakiweka mfukoni...leo hii wanataka Bibilia irudiwe kuandikwa ili iweze kumsifia Mama Samia..Looh.
 
Back
Top Bottom